Octoba 22,2026 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imeshiriki kikamilifu katika hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote Mkoa wa Dodoma, iliyofanyika katika Viwanja vya Mac... Read More
Octoba 22,2026 Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imeshiriki kikamilifu katika hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote Mkoa wa Dodoma, iliyofanyika katika Viwanja vya Mac... Read More
16 0ctober 2026 . Matukio katika picha ni viongozi na watumishi kutoka Kampuni ya Usafirishaji ya MAXIM wakikabidhi viti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Viti hivyo vimetolewa ... Read More
Octoba 10, 2026 Matukio katika picha ni watumishi kutoka katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma wakishiriki katika bonanza maalumu la michezo lililofanyika katika uwanja wa Kilimani j... Read More
Hospitali ya rufaa ya Mkoa Dodoma tunahakikisha tunampa mteja huduma bora zenye viwango na kurudisha tabasamu katika jamii kwani "HUDUMA BORA NI KIPAUMBELE CHETU, SISI NI NDUGU NA RAFIKI NAM... Read More
Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere - Musoma leo imefanya ziara ya mafunzo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma. Lengo la ziara hiyo ni kujifunz... Read More
Septemba 30, 2026 Ikiwa ni wiki ya Maadhimisho ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), iliyoanza Septemba 28 na kilele cha maadhimisho hayo ikiwa ni Octoba 4, 2026. Umoja wa wanawake Tanza... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma inawaalika wananchi wenye changamoto za mifupa kujitokeza kupata huduma za kibingwa na upasuaji, katika kambi maalum ya huduma za mifupa inayofanyika mkoani... Read More
Baadhi ya Madaktari bingwa wa magonjwa ya mifupa kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma, kwa kushirikiana na wadau pamoja na madaktari kutoka taasisi mbalimbali, wameendelea kutoa mafunzo ... Read More
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Mhe. Paschal Inyasi Chinyele amefanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa na changamoto zinazowakabil... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma imepokea ugeni wa wataalamu wa afya kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro kwa ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu wa utoaji wa huduma za afya. ... Read More