Matangazo kuhusu ugonjwa wa Corona
Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma anawatarifu wananchi wa mkoa wa Dodoma ambao wanakuja kupata huduma mbalimbali katika hospitali wakumbuke kufuata maelekezo kutoka kwa wahudumu wa afya ambao watakutana nao getini ikiwemo kukumbuka kunawa mikono kabla na baada ya kutoka nje ya hospitali