Wajumbe wa bodi ya Hospital
BODI YA USHAURI YA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA
Bodi ya ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ina mchanganyiko wa wajumbe wenye sifa, ujuzi na uzoefu katika fani mbalimbali na imechaguliwa na mamlaka yenye dhamana ya uteuzi kwa ajili ya kusimamia utoaji wa huduma katika Hospitali hii. Bodi hii ni kiunganishi kati ya Hospitali na Jamii ambayo inahakikisha kuwa Hospitali inatimiza malengo ya kuwepo kwake.
Bodi hii iliteuliwa na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu. Uzinduzi wa bodi ulifanyika rasmi tarehe 30 Octoba 2019. Bodi hii itakuwa hai kwa kipindi cha miaka mitatu tangu ilipozinduliwa.
WAFUATAO NI WAJUMBE WA BODI YA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA DODOMA
| JINA | CHEO |
| DR. EZEKIEL MPUYA | MWENYEKITI |
| DR. IBENZI ERNEST | KATIBU |
| DR. THOMAS RUTACHUNZIBWA | MJUMBE
|
| MH.MARY CHATANDA | MJUMBE
|
| MCHENYA JOHN | MJUMBE
|
| SALMA MOHAMEDY | MJUMBE
|
| RACHEAL MASIBO | MJUMBE
|
| WALTER D. LUNGU | MJUMBE
|



