KLINIKI YA MIFUPA/ORTHOPAEDIC

Posted on: December 21st, 2024

Kliniki ya mifupa inapatikana jengo bima la zamani (siku ya jumatatu na Alhamisi) na jengo la bima la sasa (siku ya jumanne,jumatano na ijumaa) kwa Mgojwa wa mara ya kwanza fika dirisha na 1 ili ujiandikishe pamoja na kulipia kwa Mgojwa wa marudio hakikisha una namba yako ya faili na umeshalipia kwa ajili ya kuonana na daktari husika.

MUDA WA KUMUONA DAKTARI BINGWA WA MIFUPA

  • Siku ya jumatatu na Alhamisi kuanzia saa 10:00am hadi saa 3:30pm
  • Siku ya Jumanne na Jumatano kuanzia saa 2:00pm hadi saa 3:30pm
  • Siku ya Ijumaa kuanzia saa 3:30pm