MMM

Napataje Leseni ya Biashara!?

Kupata maelezo ya jinsi ya kupata leseni ya Biashara angalia hapa

Napateje Chanjo ya Yellow Fever?

Ili kupata chanjo ya Yellow Fever tafadhali fika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma utapatiwa Utaratibu wa namna ya kulipia na baadaye kuchanjwa pamoja na ushauri wa chanjo hiyo.