Wajumbe wa bodi ya Hospital

BODI YA USHAURI YA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA

Bodi ya ushauri ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ina mchanganyiko wa wajumbe wenye sifa, ujuzi na uzoefu katika fani mbalimbali na imechaguliwa na mamlaka yenye dhamana ya uteuzi kwa ajili ya kusimamia utoaji wa huduma katika Hospitali hii.  Bodi hii ni kiunganishi kati ya Hospitali na Jamii ambayo inahakikisha kuwa Hospitali inatimiza malengo ya kuwepo kwake.

Bodi hii iliteuliwa na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu. Uzinduzi wa bodi ulifanyika rasmi tarehe 30 Octoba 2019. Bodi hii itakuwa hai kwa kipindi cha miaka mitatu tangu ilipozinduliwa. 

Wafuatao ni wajumbe wa bodi ya Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma.


DR. EZEKIEL MPUYA

DAKTARI MSTAAFU

MWENYEKITI

DR. IBENZI ERNEST

MGANGA MFAWIDHI WA HOSPITALI

KATIBU

BI. RABISANTE SAMA

MWAKILISHI WA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA

HOSPITALI

MJUMBE

DR. GEORGE MATIKO

MWAKILISHI WA VITUO VYA NGAZI YA CHINI VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA

MJUMBE

BI. ANNA MANGULA

MTUMISHI MSTAAFU WA AFYA

MJUMBE

DR. GATETE MAHAVA

MWAKILISHI WA WILAYA / HALMASHAURI

ZA MKOA

MJUMBE

BW. MSOLWA MLOZI

MTAALAMU WA MASWALA YA FEDHA

MJUMBE

BI. MGAJEBURE MWASIKILI

MWAKILISHI WA SEKTA BINAFSI

MJUMBE

DR. BEST MAGOMA

MGANGA MKUU WA MKOA

 MJUMBE

BI. SARAH MWAGA


MWAKILISHI KUTOKA ASASI ZA WANAWAKE


 MJUMBE


BI. ROZMARY SHAYO

MWANASHERIA

 MJUMBE

BW. JOHN MCHENYA

MWAKILISHI CHAMA CHA WAFANYAKAZI

MJUMBE