Nafikaje Hospitali ya Rufaa Dodoma
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma inapatikana katika Jiji la Dodoma, Kata ya Madukani, Mtaa wa Jamali, Barabara ya 12 karibu na kituo kikubwa cha Polisi Dodoma na pia karibu na Jimbo kuu la Kanisa Katoriki Dodoma.