Wito wa Ushirikiano (EOI) kwa Wawekezaji Kutoka Wizara Ya Afya (MOH).

Wizara ya Afya inatoa wito wa ushirikiano (Expression of Interest) kwa wawekezaji wenye uwezo wa kujenga na kupanua viwanda vya dawa nchini Tanzania.

Fursa zinazotolewa ni pamoja na:

  • Ujenzi wa viwanda vipya vya dawa, chanjo, na vifaa vya matibabu.
  • Upanuzi wa viwanda vilivyopo.
  • Ushirikiano wa kiteknolojia na utafiti.

Ni muhimu kwa wawekezaji kuwa na nakala ya hati kamili kwa maelezo ya kina kuhusu masharti, utaratibu wa maombi, na muda wa mwisho wa kuwasilisha maombi juu ya wito huo.

Hati kamili inapatikana kwa kupakua hapa chini:

CALL FOR EXPRESSION OF INTEREST (EOI) - MINISTRY OF HEALTH.pdf

Tarehe ya Mwisho ya Kuwasilisha: 2 Machi 2026

- 21 December 2025