NAMNA YA KULIPIA
Kulipa Benki :Fika tawi lolote au wakala wa benki ya CRDB,NMB, BOT aliye karibu na hospitali yetu na namba yako ya kumbukumbu mfano 9959800565861.
Mitandao ya Simu
- Ingia kwenye menyu ya mtandao husika. mfano Tigpesa *150*01#
- Chagua 4 (Lipa bili)
- Chagua 5 (Malipo ya serikali).
- Ingiza mfano 995980056586 kama namba ya kumbukumbu ya malipo uliyopewa na mtoa huduma hakikisha ziwe namba 13.
- Ingiza kiasi chapesa kama ulivyoambiwa na mtoa huduma wetu bila kupunguza wala kuzidisha mfano 15000 kwa ajili ya faili.
- Subiri ujumbe mfupi (sms) kutoka mtandao wako kama ni Mpesa,Tigopesa,halopesa au Tpesa na ujumbe mfupi (sms) wa GePG
- Rudi kwa mtoa huduma wetu na kumuonesha ujumbe mfupi (sms) zote mbili za GePG pamoja na ya kampuni la Simu uliyotumia Kulipia ili Upate risiti ya huduma uliyolipia.
- Fuata maelezo ya mhudumu wetu wapi unapaswa kuelekea kama ni kwa Daktari ama maabara au famasi.