Maadhimisho ya kilele cha miaka 100 tokea kuanzishwa kwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma(DRRH)

Posted on: November 26th, 2020

Kufuatia kufikia kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma (DRRH) mnamo tarehe 28.11.2020 Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma inaendesha zoezi la utoaji wa huduma ya afya kwa wananchi wake wa Mkoa wa Dodoma pamoja na wilaya zake na huduma hizi zinapatikana katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma na huduma hizi zinapatikana bure bila malipo yoyote na miongoni mwa hudma zinazopatikana ni huduma zoote za uchunguzi wa awali.