UWEPO WA MASHINE ZA KISASA UMEWEZESHA KUZALISHA MAZAO YA DAMU

Posted on: April 16th, 2024

UWEPO WA MASHINE ZENYE UWEZO MKUBWA UMEWEZESHA KUTENGENEZA MAZAO YA DAMU (BLOOD COMPONET)


Kutokana na uwekezaji uliofaywa na serikali Pamoja na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma wa kuhakikisha mashine zenye uwezo mkubwa umesaidia kwa kiasi kikubwa kuzalisha mazao yad amu na kuokoa Maisha ya mwanadamu kwa uharaka tofauti na zamani.

 Awali  haikuwa ikifanyika hivyo na badala yake ilikuwa  ikiazimwa katika hospitali nyingine ,tofauti na sasa ambapo huduma hii inapatikana ndani ya hospitali na kusaidia kuokoa Maisha kwa haraka.

Kwa sasa mashine hizi zimeleta faida kwa wagonjwa na  watumishi, kwani zinazalishwa na kutuzwa ndani  ya maabara ya hospitali.

“kwa sasa tunazalisha mazao mbalimbali ya damu kama vile Fresh frozen plasma (FFP), Packed Red  BLOOD SELLS (PRC) na PLATELATES